GLOBALWISE SOFTNET & GRAPHIC DESIGNER: BANK YA CRDB YAN'GARA KATIKA MAONYESHO YA SABASASABA

Tuesday, June 28, 2011

BANK YA CRDB YAN'GARA KATIKA MAONYESHO YA SABASASABA


Maoffisa masoko bank ya CRDB wakiwahudumia Wateja walio fika katika banda lao ili kupata taarifa mbalimbali za huduma za kibank zinazotolewa na bank hiyo
Baadhi ya wateja wa CRDB wakipata huduma ya kuchukua fedha katika matawi yanayo tembea, (CRDB MOBILE BRANCHES) Katika viwanja vywa mwalimu nyerere Barabara ya kilwa jijini Daresalaama Ikiwa ni Siku ya kwanza ya maonyesho hayo
WANANCHI WAKIENDELEA NA MAANDALIZI ZAIDI YA SABASABA
BIDHAA ZIKILETWA MAONYESHONI


No comments: