GLOBALWISE SOFTNET & GRAPHIC DESIGNER: Raisi Jakaya Kikwete Aongoza Waomboleza ktika Kumwaga Marehem Mayunga

Wednesday, August 10, 2011

Raisi Jakaya Kikwete Aongoza Waomboleza ktika Kumwaga Marehem Mayunga


RAIS Jakaya Kikwete leo amewaongoza mamia ya waomboleazaji kuuaga mwili wa Luteni Jenerali Mstaafu, Silas Mayunga maarufu kama ‘Mti Mkavu’ aliyeaga dunia nchini India, Jumamosi iliyopita.

Shughuli hizo zilifanyika Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi (JWTZ) ya Lugalo jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais, Dk. Bilal, Rais Mstaafu Benjamini Mkapa, mawaziri wakuu wastaafu, Joseph Warioba na Salim Ahmed Salim na Waziri wa Ulinzi na Usalama, Hussein Mwinyi.

No comments: